UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza basi wewe amua tu kuachana
Year: 2025
Maafisa wa Palestina wamesema shambulio la anga laIsrael limewaua zaidi ya watu 10 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto watatu na maafisa wawili wa vyeo
Katika msimu huu wa sikukuu na mapumziko unapoelekea mwisho, kwa siku chache zilizobakia, wengi watajikuta tena wakiwa katika harakati za kwenda masokoni kununua mahitaji ya
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga amekabidhi viti mwendo na vifaa vya shule kwa
WIKI iliyopita ambayo ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2024, haikumalizika vizuri kwa mkoa wa Mara baada ya kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi ya
Wakati Serikali ikitangaza kuanza kwa biashara saa 24 katika Soko Kuu la Kariakoo, wafanyabiashara na wachumi wamesema hiyo ni fursa kuongeza mapato kwa Serikali na
LICHA ya kutajwa kumalizana na Fountain Gate (FOG), kiungo wa zamani wa Simba, Nassoro Kapama huenda akakutana na rungu la kufungiwa baada ya kudaiwa kusaini
Serikali Mkoani Geita imeendelea kuwa kivutio kwa wakazi wa Mkoa humo hii ni Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan
Rukwa. Radi imeua ng’ombe 16 katika Kijiji cha Ngolotwa, wilayani Kalambo, mkoani Rukwa. Tukio hilo limetokea Jumatano Januari 1, 2025 wakati ng’ombe hao wakichungwa katika
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Heroes’ limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika