TUNAKULETEA mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko ya mara nyingi. Furahia
Year: 2025

Arusha. Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani wameelezea ugumu wanaokabiliana nao katika kuishi chini ya uangalizi wa wazazi au walezi baada ya kuokolewa kutoka mitaani.

NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WANANCHI wa kata ya Uru Kusini katika Jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro wamenufaika na umaliziaji wa kituo cha Afya Uru

Baada ya mazungumzo ya timu za Simba na Yanga, serikali imesema kuwa imepanga kuzungumza na wadhamini wa Ligi Kuu kuhusu mchezo baina ya timu hizo

Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, iitwayo “Africa & Indian Ocean

Kufuzu kwa Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Masry kwa mikwaju ya penalti 4-1, kunamaliza kiu ambayo ilikuwa nayo

Mtwara. Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hassan Mtenga amekitaka chama hicho kuwachukulia hatua kali wale aliowataja kuwa ‘wahuni’ waliomo ndani ya chama hicho wanaovujisha taarifa

Songwe. Serikali imesema inatarajia kuanza utekelezaji wa ujenzi wa daraja katika barabara ya Mlowo-Kamsamba ili kuondoa changamoto inayowakabili wananchi baada ya lililokuwapo awali kuathiriwa na

Dodoma. Mbunge wa Kerwa (CCM), Innocent Bilakwate ameshauri Serikali kushusha bei ya usafiri wa treni ya kisasa ya (SGR) kwa mabehewa ya watu mashuhuri (VIP)

Longido. Wananchi 37,752 wa kata za Sinya, Namanga na Kimokoua, wilayani Longido Mkoa wa Arusha, wanatarajia kuondokana na adha ya maji kufuatia ujenzi wa mradi