Kejaa enteipa inno? Jibuni kasidai endama, ai, maata enyemali. Keje ninye eninno. Kwanza, nimshukuru mheshimiwa Rais kwa kutuliza joto la Nrongonrongo. Huwa nashangaa mafyatu wanavyofikiri
Year: 2025
Kamati ya ndani ya Tanzania ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2025 imesema kuwa Tanzania iko tayari
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, Tundu Lissu, anakabia juu katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chake. Anahakikisha Mwenyekiti aliye ofisini kwa sasa, Freeman Mbowe,
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2024 zilizokuwa zifanyike Tanzania, Kenya
Hakuna hata mmoja aliyekamilika katika idara zote, isipokuwa Mwenyezi Mungu. Ndiyo maana familia ina baba, mama na watoto. Timu ya mpira wa miguu inaundwa na
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi akipokea kamusi ya Lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa
ARUSHA-Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi na kuwatafuta watu wote waliohusika katika tukio la wizi ndani ya gari aina ya Toyota Alphard lenye namba
YANGA ikitinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, itaua ndege wawili kwa jiwe moja. Jambo hilo linasubiriwa kwa hamu kubwa
Pesa zinazotumwa hutoa kitu ambacho uhisani hauwezi: uhuru. Familia zinazopokea pesa huamua jinsi bora ya kutenga fedha hizo, kulingana na mahitaji yao muhimu zaidi. Mkopo: