BAADA ya kuikalia kooni Simba Queens hadi dakika za jioni ikichapwa bao 1-0, Ceasiaa Queens imesema imeanza mipango ya kuzisaka pointi sita mbele ya Get
Year: 2025

KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa

KOCHA wa Get Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu na ligi, lakini wanapambana jambo

Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao. Wenyewe wanasema klabu yao ilianzishwa tarehe kama hiyo mwaka 1935, kwa hiyo

Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyohusisha Toyota Noah kuigonga Toyota Canter ambayo ilikuwa pembeni ya barabara usiku wa kuamkia leo Jumatatu Januari

Wanajeshi 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanatarajiwa kufikishwa kizimbani leo wakikabiliwa na mashtaka ya kukimbia mapigano, pamoja na kufanya vurugu dhidi ya raia,

NYOTA wa Kitanzania, Malaika Meena amesema ana furaha kubwa kujiunga na Bristol City inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Championship ya England, huku akitaja malengo yake

MSHAMBULIAJI wa Ain Diab ya Morocco, Jaruph Juma amesema kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa soka la ufukweni inampa motisha ya kuendelea kupambania zaidi

BAADA ya kukwama kutua KMC iliyokuwa ikimpigia hesabu dirisha dogo, mshambuliaji matata wa Tabora United, Offen Chikola imedaiwa sasa ameingia anga za vigogo wanaomtaka kwa

Dar es Salaam. Mmiliki wa mtandao wa X na mfanyakazi katika kitengo cha ufanisi wa Serikali ya Marekani, Elon Musk, amerushiana maneno na Kiongozi Mkuu