Tarime. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewataka vijana wilayani Tarime Mkoa wa Mara kuacha kutumika kisiasa kwa lengo la kusababisha fujo
Year: 2025

amewataka vijana wilayani Tarime Mkoa wa Mara kuacha kutumika kisiasa kwa lengo la kusababisha fujo na machafuko ndani ya wilaya hiyo. Akizindua ofisi ya CCM

Unguja. Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) kuongeza nguvu na uadilifu katika kushughulikia

Chuo cha Uhasibu Arusha kimeibuka kidedea na kung’ara katika mashindano ya Cyber Champions ya mwaka 2025 Mashindano hayo yameweza kushirikisha Taasisi za Elimu ya

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikamilishe sheria ya anwani za makazi ili kuweka utaratibu wa kisheria utakaowalinda

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya msahafu na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani

Dar es Salaam. Mwili wa Mtukufu Aga Khan IV umezikwa leo, Februari 9, 2025, katika mazishi ya faragha yaliyofanyika katika mji wa Aswan, nchini Misri.

Kamati ya kudumu ya bunge ya Tamisemi imesema kwamba imeridhishwa kwa kiasi kikubwa na miradi ya maendeleo katika sekta ya afya na elimu ambayo imetekelezwa

08/02/2025 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na nchi ya Burkina Faso kuwajengea ujuzi wa ubingwa bobezi wa matibabu ya moyo wataalamu wa afya