Mwanza. Wafanyabiashara, wawekezaji pamoja na Watanzania kwa ujumla, sasa wanaweza kupata suluhisho maalumu la kifedha, ushauri wa uwekezaji na mipango ya usimamizi wa mali, ikiwa
Year: 2025

BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail ‘Laizer’, amesema maendeleo hadi

WAKATI Ligi ya Wanawake ikisaliwa na mechi sita, Ligi ya Mkoa nayo ikitarajiwa kuanza, Ukerewe Queens ambayo kwa sasa inaitwa Tausi FC imefanya usajili wa

KOCHA wa African Sports ‘Wanakimanumanu’, Kessy Abdallah amesema angalau kwa sasa timu hiyo inaendelea kuimarika tofauti na mwanzoni na sababu kuu ni mbili, kuchezea nyumbani

MOTO wa straika wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga haupoi na safari hii anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mbele ya Waarabu.

Hanang’. Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Manyara, Dk Derick Magoma, amefariki dunia leo, Jumapili, Februari 9, 2025, katika

Moshi. Mwanasiasa mkongwe nchini, Nicodemus Banduka(80) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo Jijini Dar es Salaam. Banduka ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali

Meridianbet wanasema hivi kama jana hujaweza kula pesa, leo ndio siku yako sasa kwani timu kibao zitashuka dimbani hapo baadae kutunishana misuli. Nani unamdhamini akupe

Na Janeth Raphae,Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeshauri Serikali kusimamia vema Mkandarasi anayejenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma

KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora ‘Top Four’, na wanahitaji sapoti