KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza kuhesabu
Year: 2025

Mikopo: Sergei Gapon/AFP kupitia Picha za Getty Maoni na Andrew Firmin (London) Ijumaa, Februari 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Feb 07 (IPS)

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita mlango kwa

Dar es Salaam. Wakazi wa Kinyerezi, Tabata na Ukonga imeelezwa wataondokana na adha ya kukosa maji iliyokuwa ikiwakabili baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi

Morogoro. Wilaya ya Kilosa inatarajia kuvuna mapato ya Sh1.17 bilioni kama gawio baada ya kuhifadhi misitu iliyowezasha uvunaji wa tani za ujazo 545,433 za hewa

Programu ya watoto wachanga na mchanga kulisha lishe katika mkoa wa Sidama wa Ethiopia, ambayo imeathiriwa sana na majanga ya hali ya hewa. Mikopo: UNICEF/Bethelhem

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), kwa kushirikiana na Crown Media imezindua jukwaa la tano la The Citizen Rising Woman Initiative 2025.

Rorya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wavuvi wa Ziwa Victoria kuchukua tahadhari kwa kutofika kwenye mipaka ya nchi

Dodoma. Hatimaye Serikali imesikia kilio cha wafanyabiashara walioko katika Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, kwa kuagiza kufanyika mapitio ya viwango na miongozo yote inayohusiana na

Unguja. Wasafirishaji wa mifugo ya ng’ombe na mbuzi kisiwani hapa wameeleza changamoto zinazowakumba na kushindwa kusafirisha mifugo yao ikiwemo vibali na wataalamu wa kupima afya