Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA)
Year: 2025

*Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa. *Mchezo wa Blackjack Live KASINO ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa

Morogoro. Wakati changamoto ya ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani ikiendelea kuleta maumivu kwa

Dodoma. Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na

MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, Yanga wamepangwa kucheza dhidi ya Coastal Union ya Tanga kwenye raundi ya 32 ya michuano hiyo huku wekundu wa

– Wajengewa barabara, Zahanati – MILCOAL yatoa fursa za ajira UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani

Mwanza. Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtangazaji wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, tovuti ya Kenyans.co.ke imeripoti. Kifo cha Mbotela

Akiongea kutoka Gaza, WHO Mwakilishi Rik Peeperkorn alielezea tukio la uharibifu ulioenea, vituo vya matibabu vilivyozidiwa na mahitaji ya afya ya akili, kwani idadi ya

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari,leo Februari 7,2025 jijini Dodoma,kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo

Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya kufadhili miradi