Jumuiya ya kimataifa lazima ichukue hatua kushughulikia uzalishaji wa CO2 wa aristocracy ya kaboni kwani uchambuzi wa mabadiliko ya hali ya hewa hufanya wazi kuwa
Year: 2025

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Mohammed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wote wa Majiji hasa

Na Humphrey Shao, Michuzi Tv Wito umetolewa kwa wakandarasi kukamilisha kazi kwa wakati hili kutoa taswira ya hali ya fedha zinazotolewa na Rais wa

Meneja habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amemtaka winga Ladack Chasambi asivurugwe na bao alilojifunga kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate, leo Februari 6,

MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa

Dar es Salaam. Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya kughushi wasio

KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya

Unguja. Iwapo wazazi watazingatia malezi kwa siku 1000 za kwanza zitasaidia kumkinga mtoto na maradhi 13 ikiwamo kupunguza vifo vya mama na mtoto kisiwani Zanzibar.

Rombo. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo. Amesema

Farida Mangube, Morogoro Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Mussa Ali Mussa, amewataka watafiti kuchapisha tafiti zao kwa Kiswahili ili kuhakikisha matokeo ya utafiti