Dar es Salaam. Waliokuwa wateja wa Benki ya FBME zaidi ya 6,000 wameiangukia Serikali wakitaka kuharakishwa kwa mchakato wa malipo ya amana zao zinazodaiwa kuwa
Year: 2025

Dar es Salaam. Wakati watu 900 wanafariki dunia kila mwaka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa nchini, takwimu zimeonyesha kwa mwaka 2024, takribani watu 35,000

Dodoma. Bunge limeazimia Serikali kuandaa mfumo rasmi wa kisasa wa kidijitali kwa ajili ya utambuzi wa waendesha bodaboda ili kukabiliana changamoto za ajali na uhalifu.

Durban. Duduzile Zuma-Sambudla, binti wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amefikishwa mahakamani leo Alhamisi Februari 6, 2025 baada ya kushtakiwa kwa kuchochea

Morogoro. Matumizi ya Tehema katika mahakama nchini yamerahisisha ufunguaji wa kesi ambapo mlalamikaji anaweza kufungua kesi bila kulazimika kufika mahakamani wala kuonana na karani. Pia,

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Namungo kutoka kwa Tabora United, kimemuamsha Kocha Juma Mgunda aliyesema ameona mwanga ambao akirekebisha kidogo tu mambo yatakuwa matamu kwa

Unguja. Takirban nyumba 100 zilizo pembezoni mwa Bahari ya Hindi kwenye Kijiji cha Nungwi Wilaya ya Kaskazini ziko hatarini kwa kusogelewa na bahari na wameiomba

KIUNGO wa KenGold, Zawadi Mauya amesema kucheza na timu kongwe kama Yanga inahitaji ukomavu wa akili na uzoefu wa kutosha wa kuwa na uwezo wa

Chuo Kikuu cha Dodoma kiko mbioni kuanzisha programu ya mafunzo ya Uthibitisho wa Ubora wa Wataalam wa Usalama Mtandaoni (Cybersecurity Professional Certification Program), hatua ambayo

Geita. Baadhi ya wame wilayani Bukombe Mkoa Geita wamedaiwa kutegesha wake zao kwa wanaume wengine kwa lengo la kufanya fumanizi na kudai fedha. Ofisa Mtendaji