Jean-Victor Harvel Jean-Baptiste, Waziri wa Mambo ya nje na Ibada ya Haiti, anahutubia Baraza la Usalama juu ya hali ya sasa nchini Haiti. Mikopo: Picha
Year: 2025

Kupambana na ubaguzi wa rangi nyingi, alivunja vizuizi vingi, ikiwa ni pamoja na kama Mwafrika wa kwanza kufanya na Metropolitan Opera. Katibu Mkuu wa UN

LICHA ya kupeleka ombi la kuvunja mkataba ili aondoke klabuni kwa kilichoelezwa amepata ofa nono kutoka CR Belouizdad ya Algeria, lakini kuna mambo kadhaa nyuma

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa

CHAGUO jipya kutoka mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet ambapo wateja wanaobashiri mpira wa miguu wana uwezo wa kujishindia mkwanja wa kutosha kupitia chaguo jipya

-Mwenyekiti wa CCM aahidi mchujo wa haki kwa wagombea 2025-Mawazo ya wananchi kuzingatiwa ili kuimarisha ushindi kwa chama Dodoma, tarehe 5 Februari 2025 Mwenyekiti wa

Kahama. Miili miwili ya wachimbaji wa madini ya dhahabu waliofariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Nkandi eneo la Mwime Manispaa ya

Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kesi ya ubakaji Mashaka Manyama, ameibua utata mahakamani kuhusiana na umri wake pamoja na ushiriki wake katika tukio la shtaka

Dar es Salaam. Mwana Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga Khan IV,

Mwanza. Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) amefariki dunia baada ya kukabwa koo na