Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote wakiwamo waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, wachekeshaji, na wenye ushawishi mitandaoni (influencers),
Year: 2025

Dar es Salaam. Serikali imesema upelelezi katika kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X, inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Willibrod Slaa (76), bado
UKIZUBAA unaachwa. Ndiyo kinachoenda kutokea kwenye michezo ya robo fainali ya Ligi Daraja la Kwanza Dar es Salaam inayoanza kesho kwenye Uwanja wa Don Bosco,

Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote – waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, wachekeshaji, vilevile wenye ushawishi mitanadaoni (influencers),

Dodoma. Jumla ya watumishi 294, wakiwamo wakurugenzi na waweka hazina wa halmashauri, wamechukuliwa hatua. Miongoni mwa hatua hizo ni pamoja na watumishi 20 kufukuzwa kazi

Hatimaye sakata la wachezaji watatu nyota wa timu ya Singida Black Stars (SBS) kupewa uraia wa Tanzania, limetinga kortini. Wakili Peter Madeleka amefungua kesi ya

Reuters. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema hatashiriki mkutano ujao wa G20 utakaofanyika nchini Afrika Kusini. Hatua hiyo inakuja siku chache

Dodoma. Serikali imesema imeanza maandalizi ya wataalamu na teknolojia mpya ya matibabu ya ugonjwa wa selimundu kwa kutumia teknolojia ya CRISPR Cas 9 (Gene Editing).

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku tatu kuazimisha siku ya Kimataifa ya Kifafa duniani itakayoadhimishwa Februari 10, 2025, imeelezwa ugonjwa huo husababishwa na hitilafu ya

Arusha. “Ilikuwa imesalia siku moja Jackson aripoti kazini (Februari 3, 2025)…ndiyo maana alikuwa anakuja na kurudi kwa haraka,” Huyo ni Janeth Lema, shemeji wa marehemu