Arusha. “Ilikuwa imesalia siku moja Jackson aripoti kazini (Februari 3, 2025)…ndiyo maana alikuwa anakuja na kurudi kwa haraka,” Huyo ni Janeth Lema, shemeji wa marehemu
Year: 2025

BAADA ya dirisha dogo la usajili, Joshua Mutale anaonekana kucheza vizuri sana tofauti na ilivyokuwa hapo mwanzoni hadi akajikuta anawaudhi mashabiki wa Simba. Wakati anasajiliwa,

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku tatu kuazimisha siku ya Kimataifa ya Kifafa duniani itakayoadhimishwa Februari 10, 2025, imeelezwa ugonjwa huo husababishwa na hitilafu ya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amejibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Februari 06, 2025.

Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika

Rombo. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameongoza mamia ya waombolezaji katika kanisa la Mtakatifu Pius wa X, Parokia ya Tarakea, wilaya ya Rombo, Mkoani

Rombo. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameongoza mamia ya waombolezaji katika kanisa la Mtakatifu Pius wa X, Parokia ya Tarakea, wilaya ya Rombo, Mkoani

Kulingana na maagizo ya hivi karibuni ya Rais Trump kutoka White House Jumanne juu ya ushirikiano wa kimataifa, Amerika haitashiriki tena au kuunga mkono kifedha

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza nafasi 1,596 za ajira katika kada mbalimbali. Tangazo la nafasi hizo limetolewa leo Alhamisi Februari 6,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mabadiliko ya sera za misaada ya Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump,