Akiongea kutoka Gaza, WHO Mwakilishi Rik Peeperkorn alielezea tukio la uharibifu ulioenea, vituo vya matibabu vilivyozidiwa na mahitaji ya afya ya akili, kwani idadi ya
Year: 2025

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari,leo Februari 7,2025 jijini Dodoma,kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo

Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya kufadhili miradi

Unaweza kusema rungu la FIFA limeigusa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kutangazwa uamuzi wa kuifungia Congo Brazzaville kutokana na kosa la serikali kuingilia

Na Mwandishi Wetu Kuanza mwaka mpya kunaleta matumaini na fursa ya mwanzo mpya. Hata hivyo, maazimio mengi hupotea ifikapo Februari. Ofisa Mkuu wa

Kampuni ya Bolt imezindua kipengele kipya cha “Trusted Contacts” ambacho kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki au ndugu kwenye

M23 wanatajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda hata hivyo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame akizungumza na CNN alikanusha kuhusika kuwafadhili waasi hao. Goma. Mahakama ya

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la

Kitendo cha mwamuzi Abel William wa Arusha jana kumuonyesha kadi mbili (ya njano na nyekundu) kwa pamoja kipa wa Fountain Gate, John Noble katika mechi

UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kupigwa mechi mbili za kukamilisha raundi ya 17, huku kazi kubwa ikiwa jijini Arusha na JKT