MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, Yanga wamepangwa kucheza dhidi ya Coastal Union ya Tanga kwenye raundi ya 32 ya michuano hiyo huku wekundu wa
Year: 2025

– Wajengewa barabara, Zahanati – MILCOAL yatoa fursa za ajira UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani

Mwanza. Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtangazaji wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, tovuti ya Kenyans.co.ke imeripoti. Kifo cha Mbotela

Akiongea kutoka Gaza, WHO Mwakilishi Rik Peeperkorn alielezea tukio la uharibifu ulioenea, vituo vya matibabu vilivyozidiwa na mahitaji ya afya ya akili, kwani idadi ya

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari,leo Februari 7,2025 jijini Dodoma,kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo

Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya kufadhili miradi

Unaweza kusema rungu la FIFA limeigusa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kutangazwa uamuzi wa kuifungia Congo Brazzaville kutokana na kosa la serikali kuingilia

Na Mwandishi Wetu Kuanza mwaka mpya kunaleta matumaini na fursa ya mwanzo mpya. Hata hivyo, maazimio mengi hupotea ifikapo Februari. Ofisa Mkuu wa

Kampuni ya Bolt imezindua kipengele kipya cha “Trusted Contacts” ambacho kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki au ndugu kwenye

M23 wanatajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda hata hivyo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame akizungumza na CNN alikanusha kuhusika kuwafadhili waasi hao. Goma. Mahakama ya