Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewaomba Watanzania kuendelea kuuenzi na kuudumisha Muungano kwani umeleta manufaa makubwa.
Year: 2025

Nilipomaliza, nilitoka nikaenda kufungua friza na kuitazama hiyo nyama iliyoletwa. Nikamuita mtumishi wetu. “Njoo na kisu na sufuria,” nikamwambia. Mtumishi huyo alipofika nilichukua kisu nikakata

Mwanza. Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa taifa hilo haliko tayari kupelekeshwa na taifa lolote, kauli ambayo imedaiwa kuwa ameitoa ili kumjibu Rais

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kuzifunga kwa muda barabara nne zinaoingia katikati ya Jiji, ili kutoa nafasi

AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza na kushinikiza walipwe mabilioni. Walitoa siku saba

ACHANA na mabao mawili aliyofunga dhidi ya KMC na kumfanya afikishe matano katika Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah amesema amefurahishwa na

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ushindi na bonasi waliyoipata

Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi. Wakizungumza