Dar es Salaam. Serikali imesema kuwa inatarajia kuwa na mashahidi 12, watakaotoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha binadamu kimagendo, inayomkabili raia ya Ufaransa, Michael Mroivili.
Year: 2025

Dodoma. Bunge limeitaka Serikali ifanye tathmini na uhakiki wa huduma zinazotolewa na kila mtumishi katika ofisi ya ardhi jijini Dodoma, ili kuchukua hatua za kinidhamu

Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na mwingine ncha ya

Dar es Salaam. Viongozi wa Kampuni zilizo chini ya Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) wameapa kuendeleza maono ya Mtukufu Aga Khan IV katika

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi

Wataalamu wa takwimu wametakiwa kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na ufasaha kwa kuwa uwepo wa takwimu sahihi ni muhimu katika kutatua matatizo yanayolikabili taifa.

Kaa kijanja leo mvua ya kifalme ikunyeshee kupitia mchezo wa kasino wa Super Heli ambao umekujia na prmosheni yake ya kibabe inayofahamika

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewaomba Watanzania kuendelea kuuenzi na kuudumisha Muungano kwani umeleta manufaa makubwa.

Nilipomaliza, nilitoka nikaenda kufungua friza na kuitazama hiyo nyama iliyoletwa. Nikamuita mtumishi wetu. “Njoo na kisu na sufuria,” nikamwambia. Mtumishi huyo alipofika nilichukua kisu nikakata