Dar es Salaam. Swali vichwani mwa wafuatiliaji masuala ya siasa, amani na usalama ni je, wakuu wa nchi wanaokutana kesho Jumamosi Februari 8, 2025 jijini
Year: 2025

NA Mwandiahi wetu KATIBU wa siasa na uenezi na Mafunzo chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bagamoyo,Ramadhani Lukanga anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa

Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Kama sehemu ya mageuzi yanayolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma zenye mrengo wa kibiashara na za kimkakati,

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu na pia wawe na huruma

Leo tumeshiriki katika hafla ya uwekaji saini mikataba ya kusimamia mikopo 10% ya fedha za Halmashauri iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

FARIDA MANGUBE, KILOSA MOROGORO MKUU wa Wilaya ya KIlosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wakazi wa wilaya hiyo kujikita katika biashara ya hewa ukaa, kutambua kuwa

Na Said Mwishehe, Michuzi TV WAKATI wakuu wa nchi za Maziwa Makuu wakitarajiwa kukutana nchini Tanzania kujadili hali ya usalama katika Nchi ya Jamhuri ya

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amewaonya viongozi kutocheza na fedha za mikopo ya

Wanawake hutoweka kutoka kwa maisha ya umma chini ya utawala wa Taliban. Mikopo: Kujifunza pamoja. Ijumaa, Februari 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Feb

Babati. Wagonjwa wa figo katika Mkoa wa Manyara wataanza kunufaika na huduma ya kusafisha figo baada ya kupatikana mashine sita zenye uwezo wa kusafisha damu