Korti ilianzishwa na amri ya Roma, ilijadiliwa ndani ya UN – lakini ni mahakama huru kabisa iliyowekwa kujaribu uhalifu mkubwa, pamoja na uhalifu dhidi ya
Year: 2025

KIPIGO cha mabao 6-1 ilichopata KenGold kutoka kwa Yanga kinaiuma timu hiyo iliyosema hasira na machungu wanatarajia kumalizia kwa Fountain Gate watakaoumana nao Jumatatu kwenye

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi

Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), kupewa uraia imepangwa kutajwa kwa mara

MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea kumpa

Sehemu kubwa ya Gaza imeharibiwa katika mzozo wa sasa. Mikopo: UNICEF/EYAD EL BABA, Februari 2025 Maoni na Alon Ben-meir (New York) Ijumaa, Februari 07, 2025

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza kuhesabu

Mikopo: Sergei Gapon/AFP kupitia Picha za Getty Maoni na Andrew Firmin (London) Ijumaa, Februari 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Feb 07 (IPS)

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita mlango kwa

Dar es Salaam. Wakazi wa Kinyerezi, Tabata na Ukonga imeelezwa wataondokana na adha ya kukosa maji iliyokuwa ikiwakabili baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi