Tanga. Mkandarasi anayetekeleza sehemu ya tatu ya barabara ya Tungamaa – Mkwaja – Mkange, Pangani, Tanga yenye urefu wa kilomita 95.2, amejikuta katika wakati mgumu
Year: 2025

*Prof Sedoyeka aweka mikakati ya kuibua vipaji vya wanafunzi Na Chalila Kibuda Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeweka mikakati ya kuendeleza michezo nchini kwa kuwa

Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, simu za mkononi sasa ni zaidi ya kifaa cha mawasiliano. Simu zimekuwa zikitumiwa kama chanzo cha kujipatia

Mashambulizi hayo ya anga ya Israel yaliyoanza jana na kuendelea siku ya Ijumaa, yaliyalenga maeneo ya kati ya Deir al Balah na kusini mwa Gaza huko

Dar es Salaam. Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano zinatarajia kuanza vikao vya kuanzia Januari 6 hadi 24, 2025 jijini Dodoma, ambapo

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (USG) na Mwakilishi Mkuu, cr. Credit: OHRLLS Maoni na Rabab Fatima (umoja wa mataifa) Ijumaa, Januari 03, 2025

Ziara ya Bibi Aisha ni ya kwanza tangu mahusiano ya mataifa hayo mawili kuingia dosari, takribani mwaka mmoja uliopita, baada ya kuwepo kwa mpango wa

Mbeya. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ivumwe iliyopo jijini Mbeya, umemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan ukimwomba asaidie uboreshaji wa miundombinu ya shule hiyo ili

Hapa tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana

Moshi. Ni kukua kwa teknolojia ya mawasiliano ya habari, ulimbukeni au malezi mabaya? Ni maswali yanayoumiza wengi kwa sasa, baada ya kuibuka wimbi la usambaaji