Haya yanajiri siku moja baada ya Israel kwa mara nyingine kuamuru kuhamishwa kwa maeneo makubwa ndani ya Gaza, ikitaja ufyatuaji wa roketi katika ardhi yake.
Year: 2025

Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, wakati wafuasi wake wakiendelea

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Regina De Dominicis – ambaye pia anaongoza Ofisi ya Wakala ya Uropa na Asia ya Kati – alitoa ombi lake la kuchukuliwa hatua baada ya

Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini alisisitiza kwamba hakuna sehemu na hakuna mtu katika Gaza ambaye amekuwa salama tangu vita vilipoanza Oktoba 2023. “Mwaka unapoanza, tulipata taarifa

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 3,2024 About the author

Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini

Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiendesha bodaboda akiwa na msafara wa vijana wa hamasa wakielekea katika

Ripoti za vyombo vya habari zilionyesha kuwa raia wa kiume wa Marekani alikuwa ameendesha gari la mizigo kimakusudi kwenye umati wa watu waliokuwa wakisherehekea mwaka