Dar es Salaam. Danadana zimegubika ununuzi wa mabasi katika Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) chini ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) katika awamu
Year: 2025

Timu ya Nottingham Forest nchini Uingereza imeendelea kufanya vyema kabisa msimu huu chini ya kocha mkuu Nuno Espirito Santo kwa kufanya historia mpya kwa

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa KMC, Ibrahim Elias ‘Mao’ kutoonekana kikosini uongozi wa timu hiyo umemalizana na Offen Chikola kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini

Marekani. Idadi ya vifo vilivyotoka na kugongwa na gari aina ya Pickup eneo la Bourbon, New Orleans nchini Marekani imefikia 15 baada ya majeruhi watano

SIKU kadhaa tangu amalizane na Azam FC iliyoamua kusitisha mkataba aliokuwa nao, kiungo anayemudu kucheza pia kama beki wa kati, Yannick Bangala amejiunga na AS

Carter alikuwa mtu mwenye adabu na mwadilifu ambaye alijitolea maisha yake katika kukuza amani na demokrasia. Credit: Kwa hisani ya Kul Chandra Gautam Maoni na

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala (katikati) akipokea nakala ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2034-2024) kutoka kwa Kaimu

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vurugu na kuharibu gari la polisi lililokuwa likifanya doria usiku wa

Mwandishi Wetu. WANANCHI wa kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota wilaya ya Iringa vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura

Meridianbet, moja ya waendeshaji wakuu wa kimataifa wa michezo ya kubashiri na michezo ya mtandaoni na sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), sasa