Dodoma. Kati ya historia kubwa zilizopo mkoani Dodoma ni pamoja na kimbunga kilichokuwa kinasafirisha vumbi kwa umbali mrefu, maarufu kwa jina la ‘vumbi la Kongwa’.
Year: 2025

Dar/Morogoro. Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana na kukosekana kwa shule ya

BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe nchini, Steven Wasira amezungumzia mchango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema katika rasimu ya Katiba iliyopendekezwa mwaka

NGUMI za kulipwa ndio mchezo ulioifuatia soka kwa ubora mwaka 2024, na wadau wa michezo wanahofu michezo mingine kuendelea kudorora wakati soka ikidaiwa itazidi kuongoza

Songea. Baada ya kuanza katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma, hatimaye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpigakura umefika wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku wananchi wakionywa

BAADA ya kuhitimisha duru la kwanza Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) ikiwa kileleni bila kupoteza mchezo, kocha mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema hawatabweteka

Njombe. Mawakala na viongozi wa vyama vya siasa wametakiwa kuzingatia sheria kwa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwenye vituo. Kwa

KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu

Morogoro. Siku 14 zimepita tangu ilipotokea ajali ya gari aina ya Coaster iliyogongana na lori, huku mwili mmoja kati ya 15 ya waliofariki bado haukutambuliwa