Hayo yameelezwa na Shirika la Upelelezi la Marekani ambalo limearifu kwamba linachunguza kisa hicho kama tukio la kigaidi. Tukio hilo limetokea mnamo saa tisa alfajiri
Year: 2025

Ikijumuisha kipindi cha Septemba hadi Novemba 2024, ripoti hiyo inaeleza mashambulizi makali ya Urusi kwenye maeneo yenye watu wengi, mgomo wa kimakusudi wa miundombinu ya

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadem-Bara, Tundu Lissu amependekeza viongozi wa dini na mabalozi wa nchi marafiki, waalikwe kuwa sehemu ya watazamaji wa uchaguzi

Dar es Salaam. Ni kazi gani hauko tayari kuifanya ukiwa na elimu kuanzia ngazi ya shahada? Majibu ya swali hilo yanaakisi mitazamo ya vijana hasa

iDar es Salaam. Wakati msimu wa wanafunzi kurudi shuleni ukikaribia, jamii imeaswa kuwakumbuka watoto wanaoshi katika mazingira magumu ili wapate vifaa vya shule kama wanavyopata

Dodoma. Kati ya historia kubwa zilizopo mkoani Dodoma ni pamoja na kimbunga kilichokuwa kinasafirisha vumbi kwa umbali mrefu, maarufu kwa jina la ‘vumbi la Kongwa’.

Dar/Morogoro. Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana na kukosekana kwa shule ya

BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe nchini, Steven Wasira amezungumzia mchango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema katika rasimu ya Katiba iliyopendekezwa mwaka

NGUMI za kulipwa ndio mchezo ulioifuatia soka kwa ubora mwaka 2024, na wadau wa michezo wanahofu michezo mingine kuendelea kudorora wakati soka ikidaiwa itazidi kuongoza