BAADA ya kuhitimisha duru la kwanza Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) ikiwa kileleni bila kupoteza mchezo, kocha mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema hawatabweteka
Year: 2025

Njombe. Mawakala na viongozi wa vyama vya siasa wametakiwa kuzingatia sheria kwa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwenye vituo. Kwa

KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu

Morogoro. Siku 14 zimepita tangu ilipotokea ajali ya gari aina ya Coaster iliyogongana na lori, huku mwili mmoja kati ya 15 ya waliofariki bado haukutambuliwa

KAMA unafikiri ujio wa Israel Mwenda ndani ya Yanga umemshtua beki Kibwana Shomari, basi unajidanganya kwani mwenyewe ameweka wazi kuwa kuongezewa changamoto ya ushindani kunamkomaza

Ofisi ya uratibu wa misaada ya Umoja wa Mataifa, OCHA, taarifa kwamba operesheni ya kuvuka mpaka kutoka Türkiye hadi kaskazini-magharibi inaendelea bila vikwazo. Siku ya

Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, aliweka vipaumbele vya muungano huo kwa mwaka 2025 katika hotuba ya kutisha akionyesha jinsi vita vilivyo karibu sana na

Pamoja na makundi ya wapiganaji wa Kipalestina, Hamas na Hezbollah ya Lebanon, kudhoofika baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa vita, na kuanguka kwa Bashar

Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025

NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata