Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia
Year: 2025

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amechangia kiasi Cha shilingi Mil.10 kwa wajasiriamali wadogowadogo 600 waliopatiwa mafunzo maalum yanayoratibiwa na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa

WATUMIAJI wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini wameuanza mwaka mpya wa 2025 kwa shangwe ya kuendelea kupata unafuu bei za bidhaa hizo kwa

Vita ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye tamthiliya ya War and Destiny, bali

Vurugu hizo zinakuja baada ya mahakama ya juu nchini Msumbiji kuthibitisha tarehe 23 Disemba kwamba chama tawala cha Frelimo kilishinda uchaguzi wa urais ambao ulikuwa

Safari ya mwanamke katika uongozi hapa nchini imekuwa na changamoto kubwa kutokana na mfumo dume kukita mizizi katika jamii ya Watanzania, hivyo kuwaacha nyuma katika

Mwaka 2025, kwenye uga wa siasa nchini, utakuwa na matukio mengi ambayo yaanza kurindima kuanzia Januari hii, huku historia ikitarajiwa kuandikwa kupitia matukio hayo ambayo

Dar es Salaam. Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Januari 2025 imeendelea kushuka nchini, ikilinganishwa na Desemba 2024, huku sababu kubwa ikitajwa ni

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Auckland ulikuwa wa kwanza mkubwa kusherehekea, huku maelfu ya watu wakimiminika katikati ya mji au kupanda kwenye vilele vya milima ya volcano ili kuwa na nafasi