NA MWANDISHI WETU, PEMBA MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililopo
Year: 2025

Na Mwandishi Maalum,Songea WAATHIRIKA wa maafa yaliyotokana na mvua pamoja na upepo mkali tarehe 28 Desemba 2024 na Tarehe 2 Januari mwaka huu wilayani Songea

SERIKALI imewataka mapromota kuhakikisha wanakuwa na ripoti ya afya kwa mabondia kabla ya kuingia makubaliano ya kusaini mikataba ya kucheza mapambano. Kauli hiyo imetolewa leo

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas kushoto,akipanda mti wa mbao kwenye viwanja vya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma wakati wa uzinduzi

Bagamoyo. Majeruhi wote 21 waliokuwa wamelazwa kwenye Hospitali ya Msoga Halmashauri ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani kufuatia ajali iliyohusisha Coaster na lori

Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico kutishia kukatisha misaada kwa Ukraine, Rais wa Marekani, Joe Biden amekiri kujutia uamuzi wa kuiwekea

* *📌 Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari* *📌 Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri* *Na Ofisi

Arusha. Katika kukuza utalii wa matibabu na kufikia malengo ya kitaifa ya kutokomeza vifo vya wajawazito wakati wa kujifungua, Serikali inatarajia kuanza kuwasomesha wauguzi na

Bahi. Wananchi wapatao 18,604 wa Kata ya Chifutuka wameishukuru Serikali kwa hatua ya kuwaletea gari la kubebea wagonjwa ambalo litahudumu kwenye kituo cha afya Chifutuka

Njombe. Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa wa Njombe Dk David Ntahindwa amesema mwaka 2024 huduma ya uzazi wa mpango ilitolewa kwa vijana balehe wapatao 35,223