Year: 2025

DAR ES SALAAM Asasi za Kiraia (AZAKi) zimewasilisha maoni ya ziada ya kuhakiki rasimu ya Dira Ya Taifa ya Maendeleo 2050 chini ya uratibu wa

Benki kuu ya Tanzania imewataka wadau wanaojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa saruji ya ukuta ‘wall putty’ nchini kuacha kuweka fedha taslimu katika mifuko ya

Oliver Chinganya, Mkurugenzi wa Kituo cha Takwimu Afrika. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (addis ababa) Ijumaa, Januari 10, 2025 Inter Press Service ADDIS ABABA,

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtuhumiwa Masanja Mihayo, Miaka 31, Mkulima, Mkazi wa Ikandilo Wilaya ya Geita kwa tuhuma za mauaji ya mtoto

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 10, 2025 amewasili Kampala nchini Uganda ambapo kesho Januari 11, 2025 atamwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika

WATENDAJI VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MANYARA WAKUMBUSHWA KULIPA MADENI YA BOHARI YA DAWA (MSD)
Watendaji kwenye vituo vya kutolea huduma za afya waliopo kwenye Mkoa wa Manyara wamekumbushwa kuendelea na utaratibu wa kulipa madeni ya Bohari ya dawa (MSD)

WAWEKEZAJI Nchini Wahakikishiwa Usalama na Amani ili wa Mali zao ili waweze Kufanya Uwekezaji wenye tija kwa Maslahi mapana ya Taifa . Akizungumza na Wanahabari

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba ameipongeza Benki ya Biashara ya DCB kwa kuongeza mtaji wake kutoka shs bilioni 15 hadi

Na Nasra Ismail Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeshiriki Maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Chamalangwa-Pemba Visiwani Zanzibar yaliyoanza