Maoni na Anis Chowdhury (Sydney) Jumatatu, Januari 13, 2025 Inter Press Service SYDNEY, Jan 13 (IPS) – Tunamshukuru Mungu, tumenusurika mwaka mwingine wa mauaji ya
Year: 2025
Dodoma. Mtoto Jayson James mwenye umri wa miaka miwili na nusu, amefariki dunia na wenzake watatu wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema alishatoa maagizo kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), kutengeneza upya vitambulisho
Arusha. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha, kimeanza msako wa kuwakamata madereva wote waliokaidi kupeleka magari yanayobeba wanafunzi. Imeelezwa kuwa madereva
Morogoro. Waziri wa Ujenzi, Abdalah Ulega, amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde, kuhakikisha eneo la Dakawa, lililopo wilayani Mvomero, linawekwa
Geita. Motisha inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa wafanyabiashara wa dhahabu, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa dhahabu kwa bei ya soko la
Dar es Salaam. Wakati Jamhuri ikiwasilisha pingamizi la dhamana dhidi ya mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbrod Slaa, anayekabiliwa na kesi ya jinai, mawakili wake pia
MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya mkataba. Tabora United inaendelea kujiimarisha
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, taarifa zimefichua kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na Singida Black Stars hivyo ni suala la
BAADA ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Singida Black Stars, beki Rashid Kawambwa amepelekwa Polisi Tanzania inayoshiriki Championship kuitumikia kwa mkopo hadi mwisho