Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga akipokea zawadi mbalimbali za ofisi ikiwa ni pamoja na kalenda
Year: 2025

-Yatoa pongezi kuorodheshwa kwa hisa stahiki za Benki ya DCB katika Soko la Hisa Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji

Unguja. Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Shaib Hassan Kaduara amewataka wajasiriamali wa Soko la Kinyasini, Mkoa wa Kaskazini Unguja kujiunga na Benki ya

Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema tayari wameshaandaa miongozo itakayotoa elimu ya fedha kwa Watanzania itakayofundishwa kuanzia shuleni.

PAMBA Jiji ipo katika hatua za mwisho kumalizana na beki wa zamani TP Mazembe, Chongo Kabaso raia wa Zambia kuja kuimarisha safu yake ya ulinzi.

Marekani. Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10

Unguja. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, imesema itaendelea kuunga mkono jitihada za washirika wa maendeleo kuwasaidia wakulima ili wapate tija. Mratibu wa Mradi

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wakubwa katika sekta ya uchumi wa buluu ili nao wawasaidie

BAADA ya FIFA kuifungia Mtibwa Sugar kusajili kutokana na kutomlipa kipa Justin Ndikumana aliyekuwa akiidakia timu hiyo. msemaji wa klabu hiyo Thobias Kifaru, amesema watakaa

Njombe. Wakulima wa viazi mviringo mkoani hapa, wameiomba Serikali kuongeza wigo wa upatikanaji wa mbegu za zao hilo ili kukabiliana na uhaba wa mbegu hizo