BAADA ya dili la kutua Yanga kukwama, kiungo mkabaji Kelvin Nashoni aliyekuwa akitajwa kutua Pamba Jiji sasa ataendelea kusalia Singida Black Stars, huku kiungo Amade
Year: 2025

BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita tangu alipomaliza mkataba na Mtibwa Sugar, beki Yassin Mustapha amesaini mkataba wa mwaka mmoja

Dar es Salaam. Wakati huduma ya usafiri wa treni ya kisasa ya umeme (SGR) ikirejea alfajiri ya kuamkia leo Alhamisi, Januari 9, 2025, uongozi wa

MRATIBU wa michezo katika kituo cha JMK Youth Park, Bahati Mgunda amesema watoto 120 walishiriki mafunzo ya mchezo wa kikapu kwenye Uwanja wa Shule ya

KILA unapocheza Meridianbet kasino ya mtandaoni sloti ya God of Coins unapata mizunguko 50 ya bure, lakini kigezo kikubwa ni lazima ucheze mizunguko 100 kwanza

TIMU ya kikapu ya Kurasini Heat imeifumua Magnet kwa pointi 69-28 katika Ligi Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam, lakini nahodha wa timu

MCHEZAJI Davidson Evarist wa timu ya Christ the King, bado anaendelea kutesa kwa ufungaji katika Ligi Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam, baada

LEO hii ni siku yako ya kuondoka na kitita cha maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya

Dar es Salaam. Raia wanane wa Pakistani wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kusafirisha jumla ya kilo 447.3

Na MWANDISHI WETU, Lengo la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kufikisha elimu ya hifadhi ya jamii kwa makundi mbalimbali ya wananchi linaendelea