Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa wito kwa Kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa
Year: 2025

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super

Moshi. Ujenzi wa Daraja la Mpirani lililovunjika na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara katika Barabara Kuu ya Same-Mkomazi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro umefikia

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimesema Serikali inapaswa kuanzisha mifumo rahisi ya mikopo kwa wananchi ili kuwarahisishia kuepuka mikopo isiyo rasmi maarufu kama

Dar es Salaam. Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu wagombea wa nafasi ngazi za

Dar es Salaam. Benki kuu ya Tanzania (BoT), imesema mwaka huu ukuaji wa uchumi Tanzania Bara unatarajiwa kuwa asilimia sita huku ule wa Zanzibar ukikua

Babati. Mkazi wa Mtaa wa Sawe, Kata ya Maisaka, mjini Babati mkoani Manyara, Yona Angres amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa ni kunywa pombe nyingi za

Mbeya. Wakati Jiji la Mbeya likieleza hatua za haraka kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu, Kyela nayo imeweka mikakati ya kudhibiti ugonjwa huo kabla ya shule