Arusha. Serikali imefanikiwa kutambua na kuhakiki taarifa za anwani za makazi milioni 12.8 na kuzisajili kwenye mfumo wa kidigitali wa anwani za makazi (NaPA). Taarifa
Year: 2025

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mshtakiwa Madina Bille, aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la kuingia kwa jinai katika nyumba ya Zulekha Abdulwahid,

Mbeya/Mpanda. Wakati baadhi ya wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wakionyesha hofu, wakisita kupeleka watoto shule kutokana na mlipuko wa kipindupindu, viongozi na

Rukwa. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amesema mkoa huo umeandaa mazingira rafiki na bora ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta ya madini. Kauli

Dar es Salaam. Wadau wa elimu wameitaka Serikali kuongeza ajira za walimu wa masomo ya amali ili kufikia lengo la kubadilisha mtalaa. Ongezeko la walimu

Morogoro. Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imepanga kujenga kituo cha pamoja cha wafanyabiashara wa vyakula na mbogamboga, ambao kwa sasa wanaendesha shughuli zao kando mwa

Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar WATU wanaosadikika ni askari jamii wamedaiwa kumpiga Mwanamke na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumza na mwandishi wa habari

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Kundo Mathew Ofisini kwake. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Dawasa Mhandisi

Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini haoni kitu kipya

Kenya. Wakati vijana wanne waliokuwa wamedaiwa kutekwa nyara wakiachiliwa katika maeneo tofauti nchini Kenya, polisi wamekana kuwateka au kuwaachia huru. Vijana hao wanne kati ya