Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuimarisha mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya mkoani Kagera, ambao umepunguza malalamiko ya upungufu wa bidhaa za afya
Year: 2025

Pyongyang. Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa ya kati ikiwa ni mwendelezo wa majaribio yake ya silaha. Kombora hilo limerushwa wakati ambao Katibu Mkuu wa

NA WILLIUM PAUL, SAME. WANANCHI wa vitongoji vya Mahuu na Kavambughu kata ya Same wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameingia katika historia mpya tangu kupatikana kwa

Canada. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu wadhfa huo na uongozi wa chama tawala nchini humo huku akisema ataondoka ofisini mara baada chama

▪️Mkutano wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Italia kufanyika Mwezi Februari, 2025. ▪️Kampuni za Utengenezaji Vifaa kutoka vya Madini kutoka Italia kushiriki. ▪️Wachimbaji kunufaika na teknolojia

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watatu akiwemo dereva bajaji, John Isaya (21) kwa tuhuma za kutengeneza na kusambaza picha mjongeo kwenye

Kinyume na hali ilivyokuwa miaka minne iliyopita, siku ya Jumatatu (Januari 6) bunge la Marekani lilifanikisha kwa wepesi tukio hilo ambalo ni alama ya mila ya

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 7, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia.

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameweka jiwe la msingi la Jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi ya Bahari, Buyu, Akizungumza baada