BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambayo yatawawezesha wanafunzi kujiunga na kidato cha tatu na
Year: 2025

Dar es Salaam. Mwaka 2024 Tanzania ilikubwa na jinamizi la ajali za barabarani, Desemba ukiwa kinara. Ni kutokana na ajali hizo, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri

BAO pekee lililowekwa kimiani na nahodha, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limeiwezesha timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kuanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi

Dodoma. Yapo maeneo kadhaa katika Jiji la Dodoma ambayo yamebaki kuwa majina tu katika historia. Hiyo ni kwa sababu ya miundombinu ya barabara kupita na

Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03/01/2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Dar es Salaam. Si kila mavuno yanaakisi ulichopanda. Kifungu hiki cha maneno kinabeba uhalisia wa maisha ya baadhi ya watu ambao juhudi zao katika kazi

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 4, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Jaji Merchan amesema Trump, rais wa kwanza wa zamani kuwahi kuhukumiwa kwa uhalifu, anaweza kujitokeza ana kwa ana au kwa njia ya mtandao katika hukumu

William O'Neill, ambaye anaripoti kwa Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, aliangazia shambulio dhidi ya Hospitali ya Bernard Mevs huko Port-au-Prince