NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata
Year: 2025

The Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto ulisifiwa kuwa mkataba wa kihistoria ulipopitishwa na viongozi wa dunia mwaka wa 1989, na umechochea

Kibaha. Mchungaji wa Kanisa Anglikana la Mtakatifu Gabriel, Kibaha Pwani, Exavia Mpambichile amewahamasisha waumini wake kuanza mwaka mpya wakiwa na malengo thabiti ya maendeleo, hasa

Wananchi wa kata tano za Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, wanatarajia kuondokana na adha ya kukodi usafiri kwa gharama kubwa pamoja na kupandisha wanawake wajawazito

MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda

Dodoma. Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imewataka waombaji wote wa kada ya ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa

KIUNGO wa zamani wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu anayeichezea Singida Black Stars, amesema kuwa kurejea katika kikosi hicho kunadhihirisha ubora alionao. Chukwu ambye

Na Beatus Maganja, Malinyi Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo kilichopo ndani ya

YANGA inaingia kambini leo kuendelea na maandalizi kabla ya kukutana na TP Mazembe, Jumamosi Januari 4, lakini tayari imepewa mwamuzi wa bahati atakayeamua mchezo huo

Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia