WIKI iliyopita ambayo ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2024, haikumalizika vizuri kwa mkoa wa Mara baada ya kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi ya
Year: 2025

Wakati Serikali ikitangaza kuanza kwa biashara saa 24 katika Soko Kuu la Kariakoo, wafanyabiashara na wachumi wamesema hiyo ni fursa kuongeza mapato kwa Serikali na

LICHA ya kutajwa kumalizana na Fountain Gate (FOG), kiungo wa zamani wa Simba, Nassoro Kapama huenda akakutana na rungu la kufungiwa baada ya kudaiwa kusaini

Serikali Mkoani Geita imeendelea kuwa kivutio kwa wakazi wa Mkoa humo hii ni Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan

Rukwa. Radi imeua ng’ombe 16 katika Kijiji cha Ngolotwa, wilayani Kalambo, mkoani Rukwa. Tukio hilo limetokea Jumatano Januari 1, 2025 wakati ng’ombe hao wakichungwa katika

Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Heroes’ limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika

Biashara ya kuvuka mipaka imeendelea kuimarika wakati ambao Tanzania imeendelea kuuza zaidi kuliko inavyonunua bidhaa za nje, Ripoti ya Uchumi wa Kikanda ya Benki Kuu

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The

Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imewaonya wananchi kutojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwani kufanya hivyo ni kinyume

Rais wa Marekani Joe Biden amesema mhusika wa shambulizi la mjini New Orleans alichochewa na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Akinukuu taarifa