Na Farida Mangube, Morogoro Jumla ya wasichana 10,239 waliokuwa wamekatisha masomo wamenufaika na Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP), unaotekelezwa na Serikali
Year: 2025
DAKIKA 90 za Jumamosi ya Januari 18, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger, zimebeba hatma ya Wananchi msimu huu katika michuano
SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga
TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1. Katika mchezo wa fainali
Akizungumza kutoka Zaporizhzhya kwenye mstari wa mbele mashariki mwa Ukraine, Tom Fletcher aliripoti kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea “kuua na kusababisha uharibifu mkubwa wa raia”.
KIKOSI cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Bravos do
Dar es Salaam. Mbwembwe na vituko vimegubika sera za wagombea wa nafasi za ujumbe wa Baraza Kuu Bara, Zanzibar na nafasi ya ujumbe wa mkutano
IMEKUWA ni kama jambo la kawaida kwa mashabiki wa Simba kuiona timu yao ikifuzu robo fainali kwenye michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC Alger Jumamosi ya wiki
Bunduki ya kivita yanaswa Mexico. Magenge ya dawa za kulevya huingiza silaha kinyume cha sheria kutoka Marekani, ambayo huwasaidia kuendesha shughuli zao za uhalifu. Mikopo: