Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu wanane wamefariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg (MVD) mkoani Kagera.
Year: 2025
Arusha. Maambukizi kwenye mapafu yaliyosababisha matatizo ya kupumua ndicho kinachotajwa kuwa chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Ester Mahawe.
Dar/Dodoma. Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikijipanga kufanya mkutano mkuu maalumu kuanzia Januari 18 hadi 19, 2025, Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, anatajwa zaidi kumrithi
Dar es Salaam. Wadau nchini wamepanga kujadili mikakati ya kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia katika kaya za Kitanzania ili kupunguza athari za kiafya
Tanzania imepangwa katika kundi B la mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 zitakazofanyika Agosti mwaka huu ambalo litaundwa na timu
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefuta mikataba yote ya ujenzi ambayo imekuwa ikisuasua katika utekelezaji na kuisababishia halmashauri hasara kubwa akizungumza wakati wa
Chanzo: Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA). Maoni na Joseph Chamie (portland, Marekani) Jumatano, Januari 15, 2025 Inter Press Service
Serikali imenunua vifaa vya kisasa vyenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili ya kuanza uchorongaji wa visima vya kuzalisha umeme wa nishati jadidifu ya jotoardhi
Handeni. Miili ya watu 11 waliopoteza maisha katika ajali ya lori katika Kijiji cha Chang’ombe, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni, imetambuliwa na baadhi imeshazikwa
Ahmed alisema kuwa mchango huo utumwe moja kwa moja katika namba ya klabu.