LIGI kuu chini Uingereza na kombe la mfalme kule nchini Hispania (Copa de le Rey) ni fursa kwako wewe unaetandika jamvi na mabingwa wa michezo
Year: 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Kaimu Mkeyenge Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Isabela Maganga wakisaini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana
KOCHA wa Namungo, Juma Mgunda amemtabiria makubwa nyota wa Simba, Saleh Karabaka aliyetua katika timu hiyo kwa mkopo, huku akisisitiza amemvuta kiungo mshambuliaji huyo kutokaa
JANA Tanzania imewakilishwa vyema na staa wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa kule Nairobi, Kenya kulikokuwa na droo ya fainali za mataifa ya Afrika
KENGOLD wameshtuka. Baada ya kupima upepo wa Ligi Kuu Bara na kubaini sio mwepesi, mabosi wa klabu hiyo iliyopanda daraja msimu huu wameamua kufanya kweli
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 15, akiwamo Mussa Zacharia (28), mkazi wa Kijiji cha Kanyegere, Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za
Na Ashrack Miraji Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuinua maisha ya vijana wilayani Same, Mkuu wa Wilaya, Mhe. Kasilda Mgeni, ametoa wito kwa
Na Mwandishi wa NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wale wote ambao hawakujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa vilivyopelekwa katika ofisi za Kata,
Na Mwandishi Wetu, MWANASIASA mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kushika mikoba
Dutu za PFAS ni kemikali zinazotengenezwa na binadamu ambazo zina kansa ambazo huathiri binadamu kwa kuvuta pumzi na kuambukizwa. Mkopo: Shutterstock. Maoni na Stan Gottfredson