Dar es Salaam. Ikiwa imebaki miezi takribani tisa kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye ametaja mambo matano
Year: 2025

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Aisha Masaka anayekipiga Brighton & Hove Albion ameondoka nchini baada ya likizo ya wiki moja na anatarajia kurejea uwanjani mwishoni mwa Februari

Dar es Salaam. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa unafahamu mizaha (Pranky) ya watengeneza maudhui yasiyofaa kwa lengo la kupata ufuatiliaji kwa

BAADA ya tambo za Watanzania wawili wanaokipiga katika Ligi ya Walemavu nchini Uturuki hatimaye mechi baina ya timu zao imemalizika kwa sare ya 1-1. Nyota

BEKI wa kulia Mtanzania, Kealey Adamson anayekipiga katika timu ya Macarthur ya Australia amekuwa mhimili mkubwa wa timu hiyo kwenye eneo la ulinzi. Kinda huyo

BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za kuondoka klabuni hapo hazijulikani. Nyota huyo

WALE waliokuwa wakiiponda Yanga ya Sead Ramovic kwamba haina kitu, kwa sasa huenda wanatafuta mahali pa kuficha sura zao, kwa namna Gusa Achia Twende Kwao

Ili kupata Maokoto mengi tunakushauri kuanza safari fupi kwenda kwenye msitu wa kichawi kwenye sloti hii utakutana na mabinti wa msituni. Ingia mchezoni wenye viwango

Mwanza. Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unazidi kupamba moto baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, John Heche

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na serikali katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ile inayohusiana na