Mbeya. Halmashauri ya Jiji la Mbeya limeanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikijumuisha ujenzi wa soko la kisasa la Matola, kituo kipya cha mabasi ya
Year: 2025
Dodoma. Nchi 25 zinazolima kahawa barani Afrika zinakutana nchini Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Tatu wa mwaka wa nchi zinazolima kahawa (IACO), kwa lengo la
Njombe. Kamati ya Shule ya Msingi NjooMlole iliyopo Halmashauri ya Mji wa Njombe imewataka wazazi kutimiza wajibu wao wa malezi kwa kuhakikisha wanawanunulia watoto wao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu
Unguja. Madereva wa magari ya utalii Kijiji cha Kendwa, Mkoa wa Kaskazini Unguja wameiomba Serikali kuwapatia eneo la maegesho ya magari ili kuondokana na usumbufu
Dar/Tanga. Ni siku zisizozidi 20 zikichukua maisha ya watu 30 kutokana na ajali za barabarani zilizotokea kati ya Desemba 24, 2024 na Januari 13, 2025,
.Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amefanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wake Bwana
Unguja. Wajasiriamali waliopo kwenye mpango wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wameeleza namna ulivyowaondoa kwenye umaskini. Mpango wa kunusu kaya maskini kwa Zanzibar ulianza
Dar es Salaam. Makada wa Chadema, Deogratius Mahinyila na Suzan Lyimo wameshinda nafasi za uenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) na Wazee (Bazecha) katika uchaguzi
Nairobi. Kenya, imekuwa kimbilio kwa usalama wa wakimbizi na watu wanaohitaji hifadhi kutoka nchi zao, hasa wale wanaokimbia udhalimu wa kisiasa. Hata hivyo, hali imeanza