Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 2,2025 About the author
Year: 2025
“Ninatiwa moyo kila wakati na nguvu na ujasiri wa watu wa Ukrain. Nikiwa nimesafiri hadi Kharkiv, Kherson, Mykolaiv, Sumy, Zaporizhzhia, na hivi majuzi zaidi hadi
Morogoro. Ofisa Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Suzan Mdegela, ametoa wito kwa wanawake waliojifungua kufuata miongozo ya Wizara ya Afya
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa mitandaoni mahojiano ya mmoja wa wanawake akizungumzia uwepo wa mikopo aina ya kobe na nyoka, Benki Kuu
Dar/mikoani. Tunasonga mbele, ndiyo ujumbe unaobeba nasaha za jumla za viongozi wa kiroho katika ibada za mkesha wa mwaka mpya 2025 na kusahau mabaya yaliyopita.
Unguja. Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu ujao endapo chama chake kitaridhia na kumpa
Moshi. Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vyumba vitatu vya wapangaji katika Mtaa wa Wailesi, Kata ya Soweto, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakati wakijiandaa
Dar es Salaam. Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake haitambuliki kisheria. Jane
Hayo yameelezwa na Shirika la Upelelezi la Marekani ambalo limearifu kwamba linachunguza kisa hicho kama tukio la kigaidi. Tukio hilo limetokea mnamo saa tisa alfajiri
Ikijumuisha kipindi cha Septemba hadi Novemba 2024, ripoti hiyo inaeleza mashambulizi makali ya Urusi kwenye maeneo yenye watu wengi, mgomo wa kimakusudi wa miundombinu ya