BREAKING; CHAMA ASAINI RASMI KUWA MWANANCHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kupitia Kurasa za Mitandao ya Kijamii, Klabu ya Young Africans imetangaza rasmi kuwa imemsajili Nyota wa Soka wa Kimataifa kutoka nchini Zambia, Clatous Chama (Mwamba wa Lusaka rasmi awa Mwananchi) ambaye Misimu kadhaa ya hivi karibuni alikuwa akitamba ndani ya Kikosi cha Simba SC (Waasimu wao wanaounda Derby ya Kariakoo kutokea Msimbazi).
Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates

Related Posts