SHIME AMUONGEZA MALAIKA MEENA KIKOSINI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars”, Bakari Shime amemuongeza kwenye kikosi mchezaji Malaika Meena anayekipiga kunako Wake Forest University ya Uingereza kwenye kikosi kinachoingia kambini Julai 1, 2024 kujiandaa kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana. @ma1aika @twigastarstz @tanfootball

Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates

Related Posts