MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ZIARANI UNGUJA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akitoa maagizo kwa Mshauri elekezi kutoka Wakala wa Majenzi (ZBA) juu ya Ujenzi wa Mradi wa Skuli ya Sekondari ya ghorofa iliopo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa ziara yake ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi huo.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (0MPR)
Tarehe 02.07.2024

Related Posts