Viongozi mbalimbali watembelea Banda la NIC insurance Maonesho ya Sabasaba.

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisaini kitabu  wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania,  Profesa Ibrahim Hamis Juma  akipata maelezo kutoa  Afisa Bima  wa NIC Insurance  Deogratius Mlumba wakati  Jaji Mkuu hiyo alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo alipata elimu kuhusiana na Bima mbalimbali zinazotolewa na NIC katika Viwanja vya Sabasaba

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisoma machapisho ya NIC  wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt.Eliezer Feleshi akisaini kitabu  wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

  Kamishina Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis  akipata maelezo kutoka Afisa Uhusiano wa NIC Insurance Enfransia Mawalla wa pili kutoka kutoka kushoto wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Related Posts