Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia S. Hassan, na mgeni wake, Mhe. Filipe J. Nyusi, Rais wa Msumbiji (wa pili kutoka kushoto), wakimsikiliza Philip Besiimire, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakati marais hao walipotembelea banda la kampuni hiyo. Pichani, Bw. Besiimire anaelezea shughuli za kampuni hiyo mnamo Julai 4, 2024, wakati wa uzinduzi rasmi wa maonesho ya 48 ya Sabasaba ambapo Vodacom pia iliibuka mshindi wa jumla huku mheshimiwa January Makamba (katikati), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akitazama.