Zimbabwe yavutiwa na banda ofisi ya Waziri Mkuu, yaahidi kuendeleza ushirikiano

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi nchini Zimbawe, Ezra Chadzamira amesema wataendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi.

Chadzamira ameyasema hayo leo Julai 6,2024 banda ya kutebelea banda jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Amesema Tanzania na Zimbabwe zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi.

Maonesho hayo yamebebwa na kaulimbiu; ‘Tanzania Mahali Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji’.

Related Posts