Leo hii Robo Fainali ya pili ya EURO inatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa moja usiku ambapo tayari kwenye chimbo la meridianbet wameshkupa ODDS KUBWA na za maana. Ingia na ubashiri sasa.
Mechi ya mapema leo ni hii ya England dhidi ya Switzerland ambapo nafasi kubwa ya kushinda akipewa Southgate na vijana wake kwa ODDS 2.21 kwa 3.87. Wewe piga pesa kwa kubashiri mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000.
Safari ya Uingereza ilianzia kwa kumfunga Serbia bao 1-0, huku mechi ya pili wakitoa sare dhidi ya Denmark, na ya mwisho wakitoshana nguvu na Slovenia na kufanikiwa kukusanya pointi 4. Hatua ya 16 bora wakakutana na Slovakia mbapo walifanikiwa kushinda 2-1 baada ya dk 90 kumalizika bila mshindi na kwenda “extra time”.
Robo fainali ya EURO 2024 leo kupigwa unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kwa upande wa Switzerland wao walianza safari yao dhidi ya Hungary kwa kushinda 3-1, na kisha mechi ya pili walicheza na Scotland wakatoa sare ya 1-1, na wakamaliza hatua ya makundi kwa sare nyingine ilikuwa ni dhidi mwenyeji Ujerumani ambayo walitoka 1-1 na kuondoka na pointi zao 5.
Hatua ya 16 bora walipangwa na Italia ambapo ndio mabingwa watetezi wa michuano hii na kufanikiwa kuibuka na ubabe wa mabao 2-0. Je kati ya Bellingham, Bukayo Saka, Foden, Kobbie na huku kwa Akanji, Xhaka, Ruben Vargas, Embolo nani kuibuka mshindi?. Beti hapa.
Viilevile saa nne usiku kutakuwa na mtanange mzito kati ya Netherlands dhidi ya Turkey ambao hawapewi nafasi kuibuka na ushindi mechi hii ya leo. Meridianbet wamempa Uholanzi ODDS 1.60 kwa 5.48 kuchukua nafasi ya kusonga mbele.
Uholanzi alianza safari yake kwa kumfunga Poland 2-1, mechi ya pili akatoa sare ya bila kufungana na Ufaransa, na ya mwisho akapoteza dhidi ya Austria kwa 3-2 na kukusanya pointi zake 4. Na 16 bora walipangwa kucheza dhidi ya Romani na wakashinda kwa 3-0.
Uturuki wao walianza kumenyana dhidi ya Georgia na wakashinda kwa 3-1, mechi ya pili wakakipiga dhidi ya Ureno ambapo walipoteza kwa mabao 3-0, na ya mwisho waliumana dhidi ya Czechia na wakashinda kwa 2-1. Hatua ya 16 bora walikiwasha dhidi ya Austria na kuwafunga 2-1.
Uholanzi wana kikosi cha wachezaji wenye uzoefu na ubora kama vile Van Dijk, Nathan Ake, Gakpo, Depay, na wengine kibao. Je Turkey wanaweza wazuia?. Suka jamvi hapa.
Robo Fainali zingine ni hizi za COPA AMERICA ambapo leo kutakuwa na mtanange mkali kabisa Colombia uso kwa uso dhidi ya Panama. Colombia anapewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akipewa ODDS 1.31 kwa 9.80 baada ya kuwa ameshinda mechi zake mbili na sare moja.
Wakati Panama yeye ameshinda mechi mbili na kupoteza moja hivyo tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2019 na mgeni alipoteza mechi hiyo. Je leo hii atalipa kisasi?. Jisajili hapa.
Uhondo mwingine utakuwa ni kati ya Uruguay dhidi ya Brazil ambapo mwenyeji ameshinda mechi zote tatu na kukusanya pointi 9. Huku kikosi cha Dorival wakishinda mechi moja na sare mbili. Mechi hii ina ODDS 2.94 kwa 2.65. Mechi ya mwisho kukutana, ilikuwa 2023 na Brazil alishinda. Suka mkeka hapa.